SIMBA, YANGA KUANZA NA HAWA KLABU BINGWA AFRIKA

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga watacheza mchezo wao wa awali kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini. Mshindi wa mchezo huo atacheza na mshindi kati ya St. George dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Simba SC itacheza mchezo wake wa awali wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya